ad

ad

BREAKING NEWS: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI YA CHOPA JIONI YA LEO


Muonekano wa Chopa hiyo baada ya kuanguka juu ya mti jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali na Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali ya Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
(CHANZO: MICHUZI BLOG)

Powered by Blogger.