ad

ad

Matokeo ya wagombea ubunge Chadema Tanzania Nzima yapo hapa

Jul 22
Matokeo ya kura za maoni Mbeya mjini Simbeye 6
 Christopher Nyenyembe 12
 Mwanjala 18 
Lazaro Mwaikemwa 15 
Joyce Mashine 43
 JOSEPH MBILINYI 356

 Matokeo ya Kura Maoni Jimbo la Temeke 
 Samson Msambaza: kura 1 = 0.8% Emmanuel Msuya: kura 39 = 32.5% Benard Mwakyembe: kura 80 = 66.6%

 Matokeo kura za Maoni Rombo. 1. Selasini Joseph 313 2. Masika Fratern 56 3. Hugho Kimaryo 1 4. Ben Saanane 26 5. Dominick Tarimo 1

 Matokeo ya kura za maoni jimbo la Mlalo. 1.Calvin Shemboko kura 56 2.Lewis Kopwe 31 3.Jumanne Pazia 15 4.Mkazeni Mkazeni 0

 Kura za maoni jimbo la MBULU 
 MJINI 1.BENARD ANDREW 06 2.NICODEMUS EATLAWE 04 3.PAULO SULLE 132 4.MUSTAPHA AKUNAAY 108

 Highness Kiwia ameshinda kura za maoni jimbo la Ilemela kwa kura 132, wagombea walikuwa 16, jumla kura zote ni 244.

 Matokeo ya kura za maoni Mbeya mjini Simbeye 6 Christopher Nyenyembe 12 Mwanjala 18 Lazaro Mwaikemwa 15 Joyce Mashine 43 JOSEPH MBILINYI 356

 Matokeo ya kura za Maoni - Kibaha Mjini Michael P. Mtally (62) Henry Msukwa (38) Isihaka Omary (31) Joakim Mahege (13) Bosco Mfundo (4)

 Matokeo Jimbo la Nachingwea: 1. Dr Mahadhi MMOTO 207 2. Thomas MMUNI 99 3. Nurdin MCHORA 28 4. Ramadhani CHIMBANGA 6.

 Kura za maoni Jimbo la Serengeti: 1. Marwa Ryoba 280 2. Mokoro Rugatiri 4 3. Maguye Simon 8 4. John Mrema 1 5. Ramson Rutiginga 160

 Matokeo ya kura za Maoni Dodoma Mjini 1. Benson Kigaila 155 2. Josephson Kihoja 20 3. Filbert Mhoja 01 4. Emmanuel Npio 00

 MATOKEO JIMBO LA KARATU 1. Fransisco Duwe-0 2. Lazaro Massey-81 3. Paskal Gurti-0 4. Qamara Aloyce-4 5. Willy Qambalo-217

 Matokeo jimbo la Arusha Mjini: 1. Nsajigwa Mwakatobe - 6 2. Noel Olevaroya - 13 3. Godbless Lema - 255 Jumla ya kura zilizopigwa - 274

 Kura za maoni jimbo la Iramba Mashariki 1. Osca Kapalale 87 2. Elia Gunda 55 3.Juma Mwanga 43 4. George Gunda 33

 Matokeo ya Viti Maalumu jimbo la Arusha Mjini. 1. Grace Macha -3 2. Joyce Mukya - 33 3. Glory Kaaya -1
  
Matokeo kura za maoni Chadema Handeni vijijini 1.Haji Mwikalo(61) 2.Said Mbweto(21) 3.Johnson Mhando (7)

 Matokeo Jimbo la Simanjiro; James Kinyasi Millya amepata kura 102 za ndiyo, naza Hapana zilikua 5. hakuwa na mshindani.

 Matokeo jimbo la moshi mjini Eliakunda George kura 9 Japhary Michael kura 221 Viti maalumu kashinda Lucy Owenya.

 Matokeo ya Tarime Vijijini
Prosper N isack 02 Fabian mesanga13 Mosses misiwa 18 Johanes manko 52 Peter busene. 117 JOHN w Heche 310

 Jimbo la Kisesa. Masanja Manani 219 Masunga Ndemela 47 Sendama w Hunge 16 Erasto Tumbo 2 Simon Jilala 2 Matondo Sebastian 4 Nkwabi Mahona 3

 Matokeo ya kura za maoni Busanda: 1.Alphonce Mawazo-205 2.Finias Magesa-126 3.Julius Marco-26

 Tundu Lisu...kura za ndio 320 hapana 0

 Matokeo ya kura za maoni jmbo la Kawe. Mh. Halima Mdee ameshinda kwa 99% hakuwa na mpinzani.Kura za hapana zilikua mbili.

 Matokeo ya kura za maoni Same Mashariki: Nagenjwa Kaboyoka 177, Onesmo fue fue 38, nziacharo makenya 3, mch charles kanyika 3, allan mmas 1

 Matokeo ya Jimbo la Ilala 1.Naomi Kaihula 34, 2.Muslim Hassanali 20, 3.Joyce Mgela 14 5.Anderson Ndambo 02 6.John B. Wangoma 01

 Matokeo jimbo la mkuranga 1. Baraka S. Mwago 88 2. Oyeiko Ngeleja 46. 3. Olivia D. Mallonga 11 4. Sifa Majura 10

 Matokeo ya Kura za maoni jimbo la Lushoto 1. Mohamedi Mtoi 109 (89.3%) 2. Germano Walter Mbelwa 13 (10.66%)

 Kura za maoni jimbo la Ukerewe: 1. Joseph Mkundi 232, 2. Salavatory Machemli 74

 Kura za maoni jimbo la Moshi Vijijini. 1. Anthony Komu 25 2. Lucy Owenya 266 3. Clemence Chuwa 21 4. Godlisten Malisa 06 5. Ekarist Kiwia 05

 Matokeo kura za maoni Kiteto. Kidawa Athuman 102 Paschal Chibala 85. Ubunge Viti Maalum: Sisca Seuta 44 Angela Laiser 11 Mary Temba 1

Mengine yatawekwa baadae
Powered by Blogger.