BREAKING NEWS: Lowassa kathibitisha kujiunga na UKAWA Jijini Dar!
Leo Lowassa kazungumza Bahari Beach, Dar es salaam pamoja na viongozi
mbalimbali wa UKAWA walikutana na waandishi wa habari na kuzungumzia
hatma yake kuelekea Ikulu pamoja na upungufu uliojitokeza wakati wa
uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa CCM.
Amesema baada ya kutafakari kwa kina na kujiridhisha ameamua kujiondoa CCM na kuitikia wito wa UKAWA kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Amesema pia safari yake haitafanikiwa iwapo hawatajitokeza watu wengi kupiga kura, na anaiomba Tume ya uchaguzi NEC kuongeza muda wa kujiandikisha ili watu wote waweze kujiandikisha kama ilivyofanya katika Mikoa mbalimbali.
Pia amesema alinyimwa haki yake na CCM kama Mtanzania kujieleza na kujitetea, hivyo atakua mnafiki akisema ana imani na chama hicho.

Post a Comment