KISA MCHUMBA, RAY C AWE NA UWEZO WA KUMUIMBIA NYIMBO ZA KIHINDI NA KUTUMIA SIMU MOJA
STAA
wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ juzikati alipondwa
mtandaoni baada ya kudai anatafuta mchumba na kutangaza masharti yake.
Ray
C aliweka masharti kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo
pamoja na usmati, alisema mwanaume anayemtaka awe na uwezo wa kumuimbia
nyimbo za Kihindi na kutumia simu moja (kushea).
“Sasa
unataka kuoa au kuolewa, mimi sijakuelewa maana masharti uliyoweka
hutakaa uolewe utazeeka hivyohivyo, waulize walioolewa walifa-nyaje,
mwanaume atakayefuata masharti yako atakuwa mnafiki,” aliandika Godfrey
ambapo Ray C hakujibu chochote.

Post a Comment