ad

ad

Dokta Mimi Siumwi Huko - 05

ILIPOISHIA :
“Basi, basiiii, basiiiii jamaniiii,” Monica uzalendo ulimshinda na kuanza kujinyonyoa manyoa bila kutakiwa kufanya hivyo, alipomaliza kujipembua, huku akilalamika kwa sauti ya kudai huduma, haraka alimvuta Dokta Kisarawe kifuani  mwake, akajiweka sawa tayari kwa mechi ya watani wa jadi.
HANG OVER NAYO SASA…

Kila mmoja wao alikuwa na hali ya uhitaji wa huduma.
Refaa na wasaidizi wake wakaingia uwanjani na kuruhusu mechi kuanza…
Kila upande ulianza kwa kasi kubwa na mashambulizi ya kushitukiza kwenye lango la upinzani, hali iliyowafanya washangiliaji wa pande zote kulipuka kwa mayowe kila mara.

Si Dokta Kisarawe aliyekuwa akifungua kinywa kusema chochote zaidi ya miguno na mihemko ya raha kusikika.
“Mmh! Jamani doktaaa…” Monica akajikuta akichombeza baada ya kuzidiwa na manjonjo ya Dokta Kisarawe…

“Nini tena jamani Monica, aaah, basi bwana mama…” Dokta Kisarawe naye akawa anagugumia kwa raha baada ya mikono laini ya Monica kupapasa maeneo hatari ya mwanaume huyo.
Monica alikuwa akitembeza vidole vyake kwenye bustani ya kifuani ya Dokta Kisarawe, akawa anavitanua vidole na kuvikutanisha kama mkasi ukatavyo nguo, wakati mwingine vidole hivyo vikawa vinagusa hadi vinundu viwili vya kifuani hapo hali iliyomfanya daktari huyo wa tiba za akina mama aanze kuangua kilio cha raha ya ajabu.

Monica hakuishia hapo, sasa mikono ikawa inatambaa kwa kasi katika sehemu mbalimbali za mwili wa Dokta Kisarawe.
“Jamani mama, si tumesema tuanze…”
“Nakusubiri baba…”

“Oooh, nasikia hali ya tofauti sana mama…,” Dokta Kisarawe aliendelea kulalama huku mechi ikiendelea kuchezwa.
Kuna wakati Monica alimzuia Dokta Kisarawe kuendesha gari lake, na kumtaka atulie ili yeye kunyonga la kwake bila bughudha.

“Tuliaaa, tuliaaa jamaniii…,” Monica alisema huku akimshikilia kwa nguvu Dokta Kisarawe.
Monica akawa anajizungusha peke yake huku macho yakiwa yamefumbwa, muda mfupi baadaye akaanza kutoa miguno mfululizo huku ulimi akiutoa nje.

Akawa anakunja mapaja na kunyoosha miguu kama kuku aliyekuwa akijinasua kutoka kwa mchinjaji.
“Aaa, aaaah, aaaahaaa…,” Monica alitoa kelele hiyo na kutulia baada ya kufika mwisho wa safari yake.
Kuona hivyo, Dokta Kisarawe naye akakazana na muda si mrefu naye akatangaza kufika mwisho wa safari yake ndefu na ya kuchosha.

“Ooooh, oooffffuuu…” alihitimisha huku akijinasua maungoni mwa Monica.
Baada ya mechi hiyo, haraka sana Monica alinyanyuka na kukaa juu ya kitanda hicho cha kulaza wagonjwa na kujiinamia huku akitoa kwikwi za kilio hali iliyomshitua sana Dokta Kisarawe.
“Haa, mbona unalia tena jamani?” Dokta Kisarawe alihoji huku akimalizia kuvaa suruali.

“Kwa nini mimi jamaniiii?” Monica akazidi kutoa kilio cha malalamiko na kujifuta machozi mengi yaliyokuwa yakitiririka kwa kasi ya ajabu mashavuni mwake.
“Kha, sasa mbona unalia na kuhoji kwa nini wewe, maana yake nini sasa…,” Dokta Kisarawe akawa anauliza na kumsogelea mahali pale, akamgusa begani.

Monica akauondoa mkono wa Dokta Kisarawe kwa kasi hali iliyomjulisha daktari huyo kuwa hali si shwari kwa mrembo huyo.
“Kwa nini nimemsaliti mume wangu mimi?” Monica akawa anasema kwa sauti ya juu na kumshitua Dokta Kisarawe aliyekuwa akihofia watu waliokuwa nje kusikia.

“Sasa Monica, unaposema hivyo kwa sauti ya juu kiasi hicho maana yake nini jamani, au unataka watu wafanye mambo humu ndani?”
“Kwa nini umenishawishi na kumsaliti mume wangu jamani dokta?” Monica akazidi kuhoji huku akitafuta nguo zake na kuanza kuvaa huku akijisonya.

“Sikiliza Monica, wote tumejikuta katika hali hiyo, hakuna wa kumlaumu hapa, sasa nakushangaa sana kama utaanza kunilaumu mimi wakati kama ni raha tumezipata wote…”

“Raha gani, raha gani dokta nakuuliza, au unataka nikujazie watu chumbani kwako?” alilalama Monica.
“Sasa kwa nini ufikie huko kote, halafu unaposema nilikushawishi nashindwa kuelewa, hadi naanza kukushawishi ulikuwa wapi?”

“Wewe ndiyo chanzo cha usaliti, kwani mimi nilikuambia naumwa huko, ulipoanza kushika sehemu ambazo hazihusiani na ugonjwa wangu nilikuambia kabisa kuwa dokta mi’ siumwi huko, lakini hukusikia, lengo lako lilikuwa nini...?”
“Unajua Monica hatupaswi kulaumiana sana kwa hili…?” alisema Dokta Kisarawe huku akionesha uso wa huzuni japo moyoni alikuwa akifurahia na kujipongeza kwa kitendo cha kufanikisha kula tunda la  mtoto mzuri kama Monica.

“Unasemaje wewe, hivi una akili kweli…?” Monica aliendelea kung’aka chumbani humo.
Kutokana na maneno matamu na kuonesha heshima aliyokuwa akiyatoa Dokta Kisarawe, kwa kiasi fulani yalichangia kumlainisha Monica na kuanza kushuka taratibu.
“Sawa lakini siyo vizuri bwana…”

“Sawa jamani, naomba tuchukulie kama bahati mbaya mama,” alisema Dokta Kisarawe.
Kitendo cha daktari huyo kutumia jina la mama wakati wa kumuita Monica, kilimfurahisha sana mrembo huyo kwani tangu aolewe hakuwahi kuitwa kwa jina hilo na mumewe.

“Poa, nimekuelewa, nimekuelewa baba…” Monica naye alijibu kwa sauti ya chini lakini alijikuta akimalizia kwa neno la baba hali iliyomshangaza na kumchanganya sana Dokta Kisarawe.
Kwa pamoja walivaa nguo zao huku kila mmoja akikumbuka utundu na utaalamu wa mwenzake.

“Ila twende mbele turudi nyuma, huyu dokta ni kiboko kwa mambo ya chumbani, sasa kama amenifanyia utundu wote huu kwenye eneo lisilokuwa na uhuru kama hili, vipi kama tukikutana ndani ya chumba tukiwa na muda wa kutosha, itakuwaje…?” Monica aliwaza huku akimalizia kuvaa nguo yake ya ndani kabla ya kumalizia kwa zingine.

“Dah! Hata Mungu aliposema nitakufanyia msaidizi, aisee alikuwa akimaanisha huyu, mama yangu vile nakuambia...,”Dokta Kisarawe alijisemea kimoyomoyo huku akifunga mkanda wa suruali yake pana kiunoni.
“Sasa kwa hiyo kuhusu tiba dokta…?” Monica alimuuliza Dokta Kisarawe huku akimuangalia kwa macho ya ‘Ila unayaweza sana.’

“Aaah, kuhusu tiba inabidi uje baada ya siku mbili lakini kwa sasa nitakupa vidonge f’lani, sawa…?” alijibu dokta huku akimuangalia Monica kwa jicho la ‘hata hii si ni sehemu ya tiba?’
Baada ya muda waliagana na Dokta Kisarawe akampa Monica vidonge f’lani vya rangi nyekundu na kumpa maelekezo ya namna ya kuvitumia.

“Basi sawa, lakini dokta nitakushukuru mno kama nitapona na hatimaye kupata mtoto, ujue nina hamu sana ya kuitwa mama jamani…,” Monica alisema huku akimtolea macho Dokta Kisarawe hali iliyobadili kabisa hali ya mzunguko wa damu wa daktari huyo mwenye uchu wa warembo wazuri kama alivyokuwa Monica.
“Usijali Minie, mimi ndiyo Dokta Kisarawe bwana, si umeona mfano kwa rafiki yako Sulee, naye alikuja hapa akiwa haamini kama wewe lakini kwa sasa ni mama kijacho...”

“Mmh! Sawa kama kweli basi mimi naenda bwana…”
“Sawa, tutaonana…”
Monica alifungua mlango na kuwakuta wateja wengine wakingojea huduma ya Dokta Kisarawe.
Walimtupia Monica macho ya chuki kwani kitendo cha kuitwa yeye kwanza na kuwaacha waliokuwa wametangulia kiliwakera na kuwaudhi vibaya mno.

“Muone kwanza, watu wengine wanajirahisi kwa madaktari wakidhani ndiyo njia pekee ya kutibu magonjwa yao sugu…,” yalikuwa mazungumzo ya akina mama wawili waliokuwa wamekaa kwenye benchi la kusubiri zamu huku wakimuangalia Monica kwa jicho baya.

Monica alimkuta rafiki yake Sulee amenuna bila kujua chanzo na sababu ya yeye kufanya hivyo. Moyoni akawaza huenda kilichomuudhi Sulee ni kitendo cha yeye kuchelewa chumbani kwa dokta.
Hali ilikuwa tofauti kabisa kwa upande wa Sulee, wivu wa mapenzi ya Dokta Kisarawe ulikuwa umemkaba hadi shingoni na sasa alikaribia kuzimia kwa hasira.

Kitendo cha kusikia meza na viti vikitoa sauti ya kusukumwa kila mara kilichangia kwa asilimia nyingi sana kwa Sulee kuamini kuwa ni lazima kwa vyovyote vile Monica atakuwa ametembea na Dokta Kisarawe jambo ambalo lilimuumiza kuliko ncha ya wembe kupita kwenye kidonda kibichi.

“Vipi rafiki yangu mbona unaonekana umenuna sana, pole kwa kuchelewa mwaya, ”Monica alijibalaguza huku akimshika begani Sulee bila kujua hali mbaya ya wivu iliyokuwa ikimtesa mke huyo wa mtu.
“Ina maana kweli Monica unaweza kunifanyia hivyo…?” aliuliza Sulee kwa sauti ya kukwaruza.

“Nimefanya nini tena Sulee, si nimekuomba msamaha kwa kuchelewa jamani…?”
“Si umetembea na Dokta Kisarawe wewe…,” alijibu Sulee kwa sauti ya juu na yenye hasira.

Je, nini kitatokea kuhusu penzi la Dokta Kisarawe na wawili hao? Usikose kufuatilia siku ya keshoooo
Powered by Blogger.