DAVIDO KUIMBA WIMBO NA ALI KIBA
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido.
“Tanzania ni nyumbani kwangu baada ya Nigeria, napapenda tangu siku ya kwanza nilipofika, nitafanya kazi pia na Ali Kiba, naamini itakuwa bomba, watu wasubiri tu,” alisema Davido bila kufafanua zaidi.
STAA wa muziki kutoka
Nigeria, Davido ameweka wazi kuwa ana mpango wa kuimba wimbo kwa
kushirikiana na Ali Kiba na mchakato unaendelea kimyakimya.
Ali Kiba.
Davido ambaye jina lake lilipata umaarufu nchini kutokana na
kushirikiana na Diamond katika Wimbo wa Number One Remix, aliweka wazi
hayo wakati akipita kwenye ‘red carpet’ kwenye usiku wa Tuzo za MTV
Mama, wikiendi iliyopita.“Tanzania ni nyumbani kwangu baada ya Nigeria, napapenda tangu siku ya kwanza nilipofika, nitafanya kazi pia na Ali Kiba, naamini itakuwa bomba, watu wasubiri tu,” alisema Davido bila kufafanua zaidi.

Post a Comment