ad

ad

Chadema wafunika Mwanza, waahidi kumsimamisha mgombea makini

CHADEMA (2)
Wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa wamefurika katika mkutano wa Chadema jana kwenye Viwanja vya Magomeni , Mwanza
CHADEMA (4)
Baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwasili katika Viwanja vya Magomeni jijini Mwanza.
CHADEMA (7)
Mbunge wa Kahama, James Lembeli aliyejiunga rasmi Chadema akitokea CCM.
CHADEMA (8)
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akiwasili.
CHADEMA (9)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akielekea jukwaani.
CHADEMA (11)
Dk Willibrod Slaa akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya ambaye naye alijiunga na chama hicho akitokea CCM.
CHADEMA (12)
James Lembeli na Ester Bulaya katika pozi.
CHADEMA (13)CHADEMA (17)CHADEMA (19)CHADEMA (20)CHADEMA (22)CHADEMA (23)CHADEMA (27)CHADEMA (28)CHADEMA (29)CHADEMA (30)CHADEMA (31)CHADEMA (33)CHADEMA (36)CHADEMA (38)CHADEMA (39)CHADEMA (40)CHADEMA (42)CHADEMA (43)CHADEMA (44)
Powered by Blogger.