ad

ad

BREAKING NEWS! SIMANZI: MWANAMUZIKI BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
Powered by Blogger.