VIDEO NZIMA YA MIAKA KUMI NA SITA YA JUMA NATURE DAR LIVE
.…Akikamua kama kawaida yake.
.…Ngoma inaendelea.
Profesa J akiwapa mashabiki kitu walichotaka.
…Akiwaimbisha mashabiki.
....Profesa J akizidi kuzikonga nyoyo za mashabiki.
Snura (katikati) akiwaongoza wanenguaji wake.
Mmoja wa wanenguaji akionyesha machejo.
...Miondoko ya kupagawisha mashabiki ikiendelea.
Shetta akitoa burudani.
…Burudani zikiwa zimepamba moto Dar Live.
DJ Majay akifanya vitu vyake kwenye mashine
SHOO ya kutimiza kutimiza
miaka 16 katika muziki kwa msanii Juma Kassim Kiroboto ‘Sir Nature’ na
kituo cha Utangazaji cha EFM kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ndani ya
ukumbi wa Burudani wa Taifa wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, lilikuwa moto
wa kuotea mbali.
Katika onyesho hilo Nature, mbali ya kutoa
burudani ya nguvu, alipigwa tafu na Snura, Profesa J. Makomandoo, Shetta
na Msaga Sumu.
Post a Comment