TAYLOR AJIVUNIA KUMSHAURI SELENA GOMEZ
NEW YORK, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, Taylor Alison Swift amejivunia kumshauri staa mwenzake wa muziki huo, Selena Gomez kujiweka mbali na Justin Bieber.
Taylor alikuwa rafiki wa karibu na Selena na ugomvi wao ulianza Mei mwaka huu baada ya Bieber kumrudia Selena kabla hawajamwagana tena kwa mara nyingine.
“Selena na Taylor kwa sasa ni marafiki wa nguvu. Anajivunia kumshauri Selena na kufuata yale aliyokuwa akimsihi ya kujikita zaidi kwenye muziki ambapo kwa sasa yupo katika mipango ya kutoka na albamu yake inayoelezea mpasuko wa kimapenzi,” kilisema chanzo.

Post a Comment