MAINDA AWASHANGAA MASTAA KUTOOKOKA!
MSANII wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amewafungukia wasanii wenzake katika tasnia ya filamu Bongo kuwa muda umefika wanatakiwa kubadilika na kumtukuza Mwenyezi Mungu.
Akipiga Mainda aliyeachana na mambo ya ‘kidunia’ alisema kuwa anawashangaa mastaa wa filamu wakiendekeza anasa na kumsahau Mwenyezi Mungu.
“Wasanii wenzangu wanatakiwa kubadilika na kumrudia Mungu maana wengi wao wamesahau kabisa kama kuna siku ya mwisho,” alisema Mainda.

Post a Comment