LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI KILIMANJARO, ADHAMINIWA NA WANACCM 33,780
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 33,780 wa
CCM Mkoa wa Kilimanjaro, waliomdhani ili aweze kupata ridhaa ya Chama
chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa
kufanyika Oktoba 25, 2015. Anaekabidhi fomu hizo ni Katibu wa CCM
Wilaya ya Moshi Mjini, Loth Ole Nesele.
Umati
wa wanaCCM wa Mkoa wa Kilimanjaro, ukimshangilia kwa furaha, Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa (hayupo pichani) wakati alipopanda
jukwaani kuwashukuru wa kumdhamini kwa kishindo. Mh. Lowassa amepata
udhamini wa wanaCCM 33,780.
Ujumbe wa Vijana kwa Lowasa.
(PICHA: OTHMAN MICHUZI)
Post a Comment