DUDE ANASWA NYUMBANI KWA ESTER
BAADA ya kukataa sana, hatimaye mwigizaji Kulwa
Kikumba ‘Dude’ amenaswa nyumbani kwa mwigizaji Ester Kiama ambaye
inadaiwa kuwa ni mpenzi wake.

Makachero wetu walifika mapema eneo la tukio na kujibanza sehemu ambapo ulipofika muda muafaka, Dude aliingia katika geti la nyumba hiyo ya Ester akiwa na gari aina ya Toyota Mark II kisha Ester akatoka kumpokea.

CHANZO: GPL
Mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ akiwa nyumbani kwa mwigizaji mwenzake Ester Kiama.
Tukio hilo lililofuatiliwa na makachero wetu wa Oparesheni Fichua
Maovu (OFM), lilijiri juzikati nyumbani kwa mtoto huyo mzuri mwenye
mvuto wa aina yake, Kijitonyama jijini Dar baada ya chanzo kupenyeza
taarifa za Dude kuwa na desturi ya kuibuka nyumbani hapo mara kwa mara
wakati wa chakula cha mchana.Makachero wetu walifika mapema eneo la tukio na kujibanza sehemu ambapo ulipofika muda muafaka, Dude aliingia katika geti la nyumba hiyo ya Ester akiwa na gari aina ya Toyota Mark II kisha Ester akatoka kumpokea.
Wakizungumza jambo.
Walipokuwa wanaingia ndani, Dude aliwashtukia mapaparazi wetu
waliokuwa bize kuwafotoa ‘mapicha’ ndipo aligeuka mbogo kwa kurusha
matusi na kukataa kutoa ushirikiano kwa waandishi.CHANZO: GPL
Post a Comment