MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYIKA TANGANYIKA PACKERS KAWE JANA JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Mh.Freeman Mbowe
akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
kwenye viwanja vya Tanganyika Parkers Jana, ambapo pia alizindua kitabu
cha Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee.
Mh Freeman Mbowe, Halima Mdee na John Mnyika wakizindua kitabu cha Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee
Gwajima akiwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA
Mchungaji Gwajima akiongozwa na Halima Mdee kwenye jukwaa kuu
Wafuasi wa CHADEMA wakisikiliza hotuba ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe
Umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers.






Post a Comment