ad

ad

DEPAY ATUA ENGLAND NA KUSEMA ATAFIKIA KIWANGO CHA RONALDO NA MESSI

Memphis Depay ametua London kwa mapumziko mafupi na kudai atakuwa mchezaji bora duniani wakati huu anapojiunga na Manchester United. 
 Memphis Depay, in London on Wednesday, believes he can become one of the world's best players

Memphis Depay baada ya kutua London

Klabu hiyo ya Old Trafford ilitangaza kumnasa nyota huyo wa kimataifa wa Holland kwa pauni milioni 25 wiki iliyopita na anakuwa mkali wa kwanza wa hali ya juu kusajiliwa na Louis van Gaal msimu huu. 
 Depay (centre) is joining Manchester United from PSV Einhoven on a deal worth £25million

Depay anaweza kufikia kiwango cha Lionel Messi na Cristiano Ronaldo na kuwa mwanasoka bora duniani. "Watu wengi wananifananisha na Crtistiano Ronaldo, nafurahi kusikia hivyo, lakini wakumbuke kuwa ndio kwanza nina umri wa miaka 21, ila naamini siku moja nitafikia levo yake," alisema Depay.
Depay (second left) with Nicolas Isimat-Mirin  (left), Andres Guardado and Santiago Arias (far right) in Ibiza

Depay ametua England kwa ndege ya kukodi lakini atarejea Holland kuishuhudia timu yake ya PSV ikicheza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Den Haag Jumapili hii. Hata hivyo Depay hatacheza mchezo huo akihofia kuumia katika mechi ya kukamilisha ratiba kabla hajatua rasmi Old Trafford.

No comments

Powered by Blogger.