ad

ad

CARLO ANCELOTTI ATIMULIWA REAL MADRID


Real Madrid imemtimua kocha wake Carlo Ancelotti mwaka mmoja baada ya kuipa klabu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Rais wa Real Madrid Florentino Perez amethibitisha uamuzi huo katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumatatu usiku, lakini akakataa kuthibitisha kama Rafa Benitez ndiye kocha wao mpya.
Carlo Ancelotti anakuwa kocha wa tisa kutimuliwa Real Madrid katika utawala wa miaka 12 ya Florentino Perez.
Rafa Benitez, kocha wa zamani wa Liverpool anaendelea kuwa muhusika mkuu anayetajwa kuchukua mikoba ya kuikochi Real Madrdi, lakini habari za kutimuliwa kwa Carlo Ancelotti zimepokelewa vibaya na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu hiyo.
Carlo Ancelotti has been sacked by Real Madrid after overseeing a trophyless season at the Bernabeu
Carlo Ancelotti amefukuzwa Real Madrid 
A meeting with the club's board was held on Monday to discuss Ancelotti's future with Real Madrid
Carlo Ancelotti ndo basi tena Real Madrid
Real Madrid president Florentino Perez announced on Monday evening that Ancelotti had been sacked
Rais wa Real Madrid president Florentino Perez akitangaza  kumfukuza kazi Ancelotti katika mkutano wa waandishi wa habari Jumatatu usiku
Perez confirmed the decision to fire his ninth coach in 12 years as president at a press conference
Perez akithibisha kumtimua Carlo Ancelotti

REKODI YA CARLO ANCELOTTI NDANI YA  MADRID 

UEFA Champions League: 2013–14
UEFA Super Cup: 2014
FIFA Club World Cup: 2014
Copa del Rey: 2013–14
Kuhusu mbadala wa Carlo Ancelotti, Perez akasema: "Tutamtaja kocha mpya wiki ijayo ila kwa sasa napenda kuwajulisha kuwa tumeamua kumwagana na Carlo Ancelotti.
"Haya  ni maamuzi magumu kwetu, lakini siku tunapaswa kuja hapa na kufanya uamuzi mwepesi kwa faida ya klabu. Kwasasa Carlo ni sehemu ya historia yetu."


CREDIT: SALUTI5.COM

No comments

Powered by Blogger.