AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!
MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja
cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa
akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata mara moja,” alisema Aunty Lulu.
Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.
Akipiga stori Aunty Lulu alisema wanaume wengi
wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo
analitumia umbo lake ndivyo sivyo.“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata mara moja,” alisema Aunty Lulu.
Post a Comment