AUNTY EZEKIEL NA MOSES IYOBO,WAKIWA NJE NA MTOTO WAO COOKIE KWA MARA YA KWANZA
Hizi zinaweza kuwa picha za kwanza za Staa wa Bongo movie, Aunty Ezekiel akiwa na Mose Iyobo [Dancer wa Diamond Platnumz] pamoja na mtoto wao waliompa jina la Cookie wakiwa nje kwenye matembezi na inaonekana kama walikuwa wakitoka Hospitalini.
Ni miongoni mwa mastaa waliofuatiliwa zaidi mwaka huu
PICHA NA : Sammisago
Post a Comment