MAYUNGA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR AFRIKA
Mayunga aliwashinda wasanii wengi kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Washiriki wawili walioingia kwenye hatua ya tatu bora sambamba na Mayunga ni Jitey wa Nigeria na Baz kutoka Congo Brazzaville.
Nchi zilizoshiriki katika shindano hili ni Burkina Faso, Democratic Republic of Congo (DRC), Chad, Congo Brazzaville, Gabon, Ghana, Kenya, Madagascar, Malawi, Nigeria, Tanzania, Uganda na Zambia.
Baada ya mchujo zilibaki nchi sita ambazo Uganda, Madagascar, Malawi, Tanzania, Nigeria na Congo Brazzaville na hatimaye ukafanyika mchujo mwingine na kubaki nchi tatu, Nigeria, Congo Brazzaville na Tanzania.
Mayunga ni mtoto wa mwisho kwenye familia yao yenye makazi yao mjini Morogoro.
Post a Comment