ad

ad

ZARI ATUA KWENYE JUMBA LA DIAMOND PLATNUMZ

Zari the boss lady ameshare picha ya chumba cha kulala kwenye jumba la kifahari la Diamond Platnumz lililopewa jina ‘[State House]. Zari aliweka picha ya Gypsum ambayo imetengenezwa peke kwaajili ya Diamond Platnumz huku ujumbe ukisema [Gotta love ny current view]

zari 10 
 zari
 zari 12 zari 2

No comments

Powered by Blogger.