WIMBO MPYA: Leo Leo - Jokate Ft. Ice Prince
Katika siku yake ya kuzaliwa, Jokate Mwegelo ameamua kuachia
suprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania baada ya kushirikiana na
nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, Ice Prince na kutengeneza Mkito Mpya
wenye miondoko ya Afro Pop alioupatia jina LEO LEO!
Mkito huu umetayarishwa na Aloname na Tudd Thomas

Post a Comment