PICHA ZA MAZISHI YA BABA YAKE BENJAMINI MWANAMBUU WA GPL
Jeneza likiingizwa kaburini.
Watoto wa marehemu wakiweka mashada ya maua.
Meja Jenerali Mstaafu , Kisanko rafiki wa marehemu akiweka shada.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho na afisa masoko wakiweka mashada ya maua.
Ndugu wakiweka mashada ya maua.
Padri akifukiza ubani jeneza kabla ya kuingia kanisani.
Mke wa marehemu Mwanambuu akiwa na mjukuu wake.
Watoto wa marehemu (wenye tisheti nyeupe) wakiwa kanisani.
Umati wa watu uliojitokeza kumzika marehemu Syxtus Mwanambuu.
(Habari/picha: Haruni Sanchawa)
Post a Comment