ad

ad

SIMBA YASHINDA BAO 2- 1 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA, PICHA 20 ZA MCHEZO HUPO ZIPO HAPA



Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea jana January 31 katika viwanja mbalimbali ikiwemo Uwanja wa Taifa Dar, ambapo timu ya Simba Sports Club walikuwa wakipambana na JKT Ruvu kusaka point tatu muhimu za ushindi.
Mpaka dakika tisini zinakamilika matokeo yalikuwa hivi, Simba SC walikuwa na goli 2 wakati JKT Ruvu walishinda goli 1.

















No comments

Powered by Blogger.