ad

ad

CHELSEA, MAN CITY NGUVU SAWA ZATOKA BAO 1-1

 

Matokeo ya mechi hiyo ni sare ya 1-1 ambayo imeendelea kuipa Chelsea uongozi wa pointi 5 zaidi ya Man City wanaoshika nafasi ya pili.
Chelsea walianza kufunga goli kupitia Loic Remy ambaye alimalizia kazi nzuri ya Eden Hazard katika dakika ya 40 – lakini muda mfupi baadae David Silva akaisawazishia City baada ya kumalizia pasi ya Sergio Aguero.
Mpaka mwisho wa mchezo huo matokeo yalikuwa yakisomeka 1-1.


CHELSEA (4-2-3-1): Courtois 5.5; Ivanovic 6, Zouma 7.5, Terry 7, Azpilicueta 5.5; Ramires 6.5, Matic 7.5; Willian 5 (Drogba 80), Oscar 5.5 (Loftus-Cheek 93), Hazard 7; Remy 6.5 (Cahill 87)
Subs not used: Cech, Ake, Christensen, Brown
Goal: Remy 41
MANCHESTER CITY (4-2-3-1): Hart 6; Sagna 6.5, Kompany 6, Demichelis 7, Clichy 7; Fernandinho 7, Fernando 6 (Lampard 77); Milner 6.5, Silva 7.5 (Jovetic 90), Navas 8; Aguero 6.5 (Dzeko 84)
Subs not used: Caballero, Zabaleta, Kolarov, Boyata
Goal: Silva 45
Booked: Silva, Fernando 
Referee: Mark Clattenburg 6.5
MOM: Navas 
Attendance: 41,620 
















No comments

Powered by Blogger.