Y-TONY FT BARNABA - MAMA (OFFICIAL VIDEO)
Mwanamuziki Elly Michael Kilema ‘Y Tony’ kijana anayekuja kwa kasi na
wimbo wake unliofahamika kama ‘masebene’ anafanya vema sana kupitia
staili ya uimbaji wake.
Leo ameachia video ya wimbo wake mpya wa Mama aliomshilikisha Barnaba
Meneja wake Hemed Kavu ' HK' akiongea na mtandao wa 2jiachie.com amesema video hii ipo kiwango cha juu amewaomba watanzania kumpa sapoti msanii wake.

Post a Comment