WALIOJIACHIA NA 2JIACHIE.COM MUENDELEZO WA KUTAFUTA PICHA BORA YA MWAKA 2014
Asanteni sana wasomaji wetu wote mliotuma picha zenu katika WhatsApp ya 2JIACHIE.COM zoezi linaendelea kutafuta picha bora nyenye ubora na pozi la mwaka 2014.
Muda wa shindano umepita lakini tunakaribisha Matukio mbalimbali kutumwa, Picha mbalimbali za pozi, Harusi, bethidei na nyinginezo.
Endelea kutuma katika email hii 2jiachie@gmail.com au WhatsApp 0654 50 42 66

































Post a Comment