VIDEO: ALIYEMUITA DIAMOND SHOGA KISA ZARI YUPO HAPA
Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence, ameibuka na kumuita nyota huyo shoga,
HEBU MSIKIE
“Kwa nini utembee na Diamond shoga? Sijui kama anajua kwamba mimi ndiyo wa kwanza kutembea na wewe (Zari),” aliandika katika mtandao wa Facebook.
Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence aliyemuita Diamond Platinumz shoga.
AZIDI KUTAPATAPA
Kama hiyo haitoshi, kupitia mtandao wa Facebook, King alitupia mawasiliano yake ya zamani na Zari akidai alikuwa akimuomba fedha.
ATUMIA GIA YA WATOTO
Awali, King ambaye imeelezwa alikuwa na urafiki na dereva wa aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga, alianza kwa kumchokonoa Diamond kwa gia ya kujifanya anawatetea watoto wa Zari ambapo alitupia picha ya Zari akiwa na Diamond mtandaoni ikiwa na ujumbe wenye kejeli na jeuri ya fedha.
UJUMBE ULIVYOSOMEKA
“As a concerned uncle, Im offering Zari’s tomboy Diamond Dola 40,000 so as to leave the old mom of three to take care of her kids. The young boys miss their mom. Please Diamond do it for the kids.”
Post a Comment