ad

ad

MAN UNITED WAKIWA MAZOEZINI SIKU YA LEO, KAZI NDO KWANZA WAJIPANGA UPYA







 KIPA MPYA WA MAN UNITED, VICTOR VALDES ALIYEINGIA MKATABA WA MIEZI 18 AMEANZA KAZI RAMI NA TIMU YAKE HIYO MPYA BAADA YA KUWA AMETAMBA NA BARCELONA KWA KIPINDI KIREFU. PAMOJA NA VALDEZ, KIUNGO DALEY BLIND NAYE AMEREJEA MAZOEZINI NA KUUNGANA NA WENZAKE BAADA YA KUWA MAJERUHI KWA ZAIDI YA WIKI MOJA.



No comments

Powered by Blogger.