ad

ad

VANESSA MDEE NA JUX NI WAPENZI?

Ni miongoni mwa maswali mengi yanayoulizwa kuhusu wapenzi wa bongo fleva, Vanessa Mdee na Jux, Je ni wapenzi au marafiki tu ? Kwenye interview tofauti nilizofanya nao kila mara V Money husema kuwa ” Me na Jux ni marafiki sana, na tumekuwa hivi kwa muda mrefu” . Je mwaka 2015 wataweka wazi kuwa kinachoendelea kati yao ni zaidi ya Urafiki ?

vanesaa 4 vanesaa 5
vanessa 2 vanessa
CREDIT: SAMMISAGO

No comments

Powered by Blogger.