RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA
Ni
siku nyingine tena ya jumamosi ya tarehe 17 ya mwezi wa 1 mwaka 2015,
viwanja mbalimbali Nchini Tanzania vinatarajiwa kuwaka moto katika
muendelezo wa ligi kuu ya Tanzania bara. Huku Timu za Simba, Yanga,
Mtibwa pamoja na Azam zinatarajiwa kujitupa katika mechi zao za kwanza
tangia kuisha kwa michuano ya kombe la mapinduzi kisiwani Zanzibar
ambapo Simba ilitwaa taji hilo dhidi ya Mtibwa suksri ya Manungu
Turiani.
Ratiba kamili ya mechi za leo ni hii

Post a Comment