ad

ad

PICHA 20: CLUB OLYMPIA YA SINZA-MORI YATEKETEA KWA MOTO


CLUB  Olympia iliyoko Sinza-Mori jijini Dar es Salaam, imeungua na kuteketea kwa moto majira ya saa kumi na nusu usiku wa kuamkia leo ambapo chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mapema.
 Mlinzi wa club hiyo inayomilikiwa na Samuel  Mwaisumbe, na ambaye hakuweza kujitambulisha jina lake, alisema moto huo ulianza mishale ya saa kumi usiku ambapo waliweza kutoa taarifa kwa vyombo vya zima moto.
Aliongeza kwamba zima moto  hawakufika kwa muda mwafaka na badala yake walifika kunako  saa 12 asubuhi wakiwa na maji  kidogo ambayo yaliisha wakati moto ukiendelea.

PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, DAR

 PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, DAR











PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, DAR









PICHA ZOTE NA 2JIACHIE, DAR

No comments

Powered by Blogger.