OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU
Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!
Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua Simba!!
Wengi hawakumbuki Okwi alivyokuja Simba, aliyekuwa akikimbia na mpira mpaka nje ya Uwanja pale shamba la bibi, Okwi huyu aliyekuwa anakaa sana na mpira kuliko maelezo lakini Simba walimvumilia tena kibaya zaidi alikuja wakati Simba, Mgosi ndio usiseme kabisa na Samatta ndani wapi Kijuso!!

We made him a Star, atake asitake, asilimia 80 ya fedha alizopata zimetoka na muunganiko wa Simba SC!!
Sasa je kama Simba wasingekuwa wavumilivu kama kwa hao wachezaji wengine leo huyu Okwi angeibukia wapi??
Mnaweza kuona kwamba ana kipaji tu na kwamba angetoka kokote kule, lakini kumbukeni Simba tulimlea Okwi yawezekana malezi yamesaidia yeye kuwa mkali zaidi akiwa Simba labda kwa jinsi tulivyokuwa tunamvumilia na labda pia uvumilivu huu asingeupata sehemu nyingine!!
Alikuja kwa kasi sana Oloya, leo nani anamsikia??
Okwi akae akijua hakuna laana mbaya amabayo hata Mungu ataisikia kama itatoka kwa Wana Simba!!
Leo Okwi anaringa, anakuwa kama wachezaji wetu wa kitanzania wasioelewa nn maana ya kazi, anakuja kambini anavyotaka, timu iko mashindanoni yeye anafikiria kuoa, hii ni dharau kwa Wana Simba, alikuwa hana sababu ya kuoa wakati Simba ipo kwenye mashindano!!
Na naona kama anakuwa anajisahau na ana tabia za Kiswahili kwamba mpira ukiujua unajua tu, maana kama hataki kufanya mazoezi na timu na anakuja siku moja kabla ya mechi, kwa mchezaji anayejielewa anamaanisha nn??
Lakini yote yanatokana na Viongozi ambao washabiki wengi wanadhani wao wana akili sana, hv jiulize ikitokea huko Mapinduzi Simba ikutane na Yanga, halafu hao viongozi wamwite kambini Okwi na acheze, unadhani wachezaji na Kocha watakuwa na fikra gani??
Hata kama akicheza vizuri huu si Uendeshaji wa timu, na ndio maana makocha wanakuja na utimamu wao lakini wanaona watu wenyewe lakini wanatuona tupo kienyeji na wao wanaamua kuishi kienyeji ili kwa kuwa mshahara unaingia, sasa hapa ndipo wanapopotea maana timu ikishindwa kwa maisha ya kienyeji wao Viongozi wanamgeuka Kocha wanasema hajui anachokifanya, na akiwa ana msimamo utasikia Kocha hashauriki!
Mfano mechi na Kagera, baada ya kufungwa wanasema eti kwa nn Phiri kwa nn aliwapanga Waganda na wakati hawakuwa fiti???
Lakini wamesahau hata Mtani Jembe wote hao hawakutrain pamoja na timu ikashinda, na wala hawakumlaumu Phiri!
Lakini jiulize Phiri angewaacha hao Waganda nje na timu ikafungwa, hawa vilaza wangesemaje na washabiki wanaofuata upepo??
Wazee wetu wamefanya makubwa kuifanya badge ya Simba iogopwe lakini sasa vijana wa kidigatal wanaharibu kabisa heshima ya Simba, makosa ni mengi sana kwenye Utendaji mpaka unatilia shaka hawa watu wanaongozaje mpira, lakini kibaya zaidi tunaoumia ni sisi mashabiki!

HABARI NA MDAU WETU
Post a Comment