ad

ad

KIKOSI CHA AZAM LEO MAPINDUZI CUP DHIDI YA MTIBWA KIPO HAPA

 

Leo Alhamisi klabu ya Azam FC inaingia dimbani hapa Zanzibar kupambana na Mtibwa Sugar katika robo fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mechi itaanza saa 11 jioni na itaonyeshwa na Azamtv. 

Kikosi cha leo ni;

1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. AGGREY MORIS
5. PASCAL WAWA
6. MUDATHIR YAHYA
7. HIMIDI MAO
8. FRANK DOMAYO
9. JOHN BOCCO
10. DIDIER KAVUMBAGU
11. BRIAN MAJWEGA
AKIBA
1. MWADINI ALI
2. DAVID MWANTIKA
3. GADIEL MICHAEL
4. WAZIRI SALUM
5. KHAMISI MCHA
6. SALUM ABUBAKAR
7. AMRI KIEMBA
8. FARID MUSSA
9. KIPRE TCHETCHE
10. KELVIN FRIDAY

No comments

Powered by Blogger.