AZAM YASHINDA BAO 3- 1 DHIDI YA KAGERA SUGAR LEO JIJINI MWANZA
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia pamoja na mfungaji wa bao la kwanza Kipre Tchetche
Wachezaji wa Azam Fc wakiyarudi Mangoma mara baada ya kupata bao lao la mapem Dakika ya 4 Kipindi cha kwanza cha dakika 45. Bao la pili lilifungwa na Didier Kavumbagu dakika ya 38 kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili hich hicho Kona ilipigwa na Didier Kavumbagu alijitwisha kichwa na kufunga bao katika dakika ya 77 na kuipatia bao la tatu kwa kufanya 3-1 dhidi ya Wenyeji Kagera Sugar.
Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.com
Shaaa shaaaa!!
Kikosi cha Timu ya Kagera Sugar
Rashid Mandawa dakika ya 55 kipindi cha pili alifanya 2-1 na kasi ikaanza kwa Timu ya Kagera Sugar kwa kuongeza bidii ili waweze kusawazisha bao lililobaki.
Kikosi cha Timu ya Azam FC
Timu Kepteni na Waamuzi wa Mchezo wa leo walipata picha ya pamoja kwenye uwanja wa CCM KIrumba Jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.com
Timu zikisalimiana zote mbili kati ya Kagera na Azam FC
Wachezaji wa Timu ya Azam Fc wakiingia Uwanjani CCM Kirumba tayari kwa mtanange na Wenyeji Kagera Sugar
Wachezaji wa Kagera Sugar mechi inaendelea 3-1
PICHA NA FAUSTINE RUTA/MWANZA
Post a Comment