ALLY ABDALAH MCHEZAJI BORA WA MKOA ARUSHA UNDER 12 MWAKA 2014
Ally Abdalah ametangazwa kuwa mcheaji bora under 12 mkoa wa Arusha kwa mwaka 2014,Pichani ni wachezaji wa chini ya umri wa miaka 12 wakianya yao ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium, wa jijini Arusha.
Kerlius Majegero mchezaji bora wa mwaka Loamo Primary
Academy mmoja katika timu ya mkoa
Post a Comment