AFCON: GHANA NA ALGERIA YASONGA MBELE HATUA YA ROBO FAINALI
Ghana na Algeria zimesonga mbele hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kutoka kundi C.
Ghana imesonga mbele hatua hiyo baada ya kuibamiza Afrika Kusini Bafabana kwa jumla ya magoli mawili kwa moja.
Goli la kwanza la Ghana limefungwa na John Boye kabla ya lile lilolowavukisha Ghana kwenda hatua ya robo fainali lilil0tiwa wavuni na Andre Ayew katika dakika ya 83.
Goli pekee la Afrika Kusini limefungwa na Mandla Misango.
Post a Comment