ad

ad

WAZIRI HAWA GHASIA AWATIMUA WAKURUGENZI

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

No comments

Powered by Blogger.