UCHUNGUZI MWILI WA AISHA MADINDA WAKAMILIKA
Uchunguzi wa mwili wa marehemu Aisha Madinda, umekamilika na sasa mwili uko unaoshwa katika msikiti wa Muhimbili.
Bado
Saluti5 ambayo iko hapa Muhimbili, haijafanikiwa kupata ripoti ya
daktari, lakini matarajio ni mwili kuondoka hapa majira ya saa 8 mchana
kuelekea Kigamboni.
Kwa hali hii, ni wazi kuwa mazishi ya Aisha Madinda sasa yatafanyika baada ya saa 9.
Mwili wa Aisha Madinda ukitolewa chumba cha maiti na kupelekwa msikitini kwaajili ya kuoshwa
Mwili unawasili msikiti ulioko Muhimbili
Safari ya mazishi ya Aisha Madinda inaanzia hapa
![]() |
| Kutoka kushoto ni Juma Mbizo, Said Mdoe na Omar Baraka wakiwa nje ya msikiti wa Muhimbili |




Post a Comment