MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ UGANDA JANA
Msanii Diamond Platnumz ameondoka Tanzania jana mchana na kuelekea Uganda kwaajili ya Party yab Zari The Boss Lady. #ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika Kampala. Hizi ni picha za Diamond alivyowasili kwenye uwanja wa ndege na kupokelewa na Zari.
Post a Comment