ad

ad

DIAMOND PLATNUMZ, IDRIS SULTAN NDANI YA DAR LIVE



Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wakati akiwasili katika Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live sambamba na mshindi wa BBA, Idris Sultan.
Diamond ndani ya Dar Live.

Diamond akiwa back stage tayari kwa kukinukisha katika Tamasha la Wafalme .
Diamond, Idris na Rom Jones wakiwa back stage ndani ya Dar Live .
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)

No comments

Powered by Blogger.