DIAMOND AMLA DENDA LIVE ZARI KWENYE NDANI YA LIFT NCHINI UGANDA
Diamond amefika Uganda na kupokelewa na timu ya Zari kwaajili ya party yake ya#ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika @guvnoruganda tarehe 18 December 2014. Hizi picha za chakula cha usiku wakiwa na mwenyeji wao Zari.
Post a Comment