ad

ad

2JIACHIE WANAWATAKIA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA


2JIACHIE.COM Tunawatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya wasomaji wetu.
2jiachie wanapenda kuwataarifu wasomaji wake anayetaka kuweka picha yake kwenye tovuti yetu akionyesha akiwa amejiachia kwa mwaka mzima na habari ya 2jiachie atume picha.

Tutatuma picha kuanzia leo Desemba, 25 - January 5,  2015 kama sehemu ya kuwa pamoja na wasomaji wetu.

Picha zitumwe kwenye emailhii 2jiachie@gmail.com au WhatsApp +255 654 50 42 66

No comments

Powered by Blogger.