ad

ad

PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR


Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM IMEFANIKIWA KUPATA EXCLUSIVE PICTURES ZA WAWILI HAO WAKIWA KATIKA MAPOZI YENYE UTATA KATIKA MOJA YA HOTEL ILIYOPO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
JE... NI WASHKAJI TU AMA..???
WEMA SEPETU YUKO WAPI JAMANI..???
JE...NI KWELI WEMA NA DIAMOND WAMEMWAGANA...?
 
JE...HUYU NDIO MAMA YETU MPYA..???
(CREDIT: TEAMTZ.COM)

No comments

Powered by Blogger.