PENNY: MAHARI YANGU NI JUZUU, MSAHAFU
Jina la Penny limo katika orodha ya mastaa waliowahi kuwa na uhusiano
na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Jina lake kamili ni
Penniel Mwingilwa. Huyu ni Mtangazaji wa Radio Efm ya jijini Dar.
Penny: (Kicheko)...kwa kweli namshukuru kwa kuninunulia ile gari ila sasa hivi siko nayo, nimeamua kubadilisha, si unajua mtu lazima uende na wakati?
Ijumaa: Mara ya mwisho kupanda daladala ilikuwa lini?
Penny: Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008. Nilipoanza tu kazi ya utangazaji, nilipopanda daladala watu walikuwa wananishangaa sana nikaona hiyo siyo poa, nikawa napanda teksi.
Ijumaa: Ulikuwa na Diamond mkaachana, hebu tuambie kwenye maisha yako ungependa umpate mwanaume wa aina gani?Penny: Kwanza awe mchamungu, pili anithamini lakini pia awe mtu muelewa. Yaani ajue ni wakati gani wa kufanya maamuzi sahihi na awe tayari kunisikiliza.
Ijumaa: Nini ambacho kinakukwaza sana na hukipendi kabisa?
Penny: Ni watu kuniongelea tena kwa mambo ambayo hawayajui kuhusu mimi. Nakerwa sana na wanaofanya hivyo.Ijumaa: Ukiwa katika ‘stress’ au mtu kakukwza na kukukosesha amani, kipi ambacho huwa unakifanya kurudisha amani yako?
Mtangazaji wa Radio Efm ya jijini Dar Penniel Mwingilwa.
Wiki hii yuko hapa kujibu maswali ambayo waandishi wetu Imelda Mtema
na Hamida Hassan walimuweka mtu kati.Ijumaa: Mambo Penny, naona sasa
hivi una gari nyingine, ile Toyota Brevis ambayo mpenzi wako wa zamani
Diamond alikununulia iko wapi?Penny: (Kicheko)...kwa kweli namshukuru kwa kuninunulia ile gari ila sasa hivi siko nayo, nimeamua kubadilisha, si unajua mtu lazima uende na wakati?
Ijumaa: Mara ya mwisho kupanda daladala ilikuwa lini?
Penny: Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008. Nilipoanza tu kazi ya utangazaji, nilipopanda daladala watu walikuwa wananishangaa sana nikaona hiyo siyo poa, nikawa napanda teksi.
Ijumaa: Ulikuwa na Diamond mkaachana, hebu tuambie kwenye maisha yako ungependa umpate mwanaume wa aina gani?Penny: Kwanza awe mchamungu, pili anithamini lakini pia awe mtu muelewa. Yaani ajue ni wakati gani wa kufanya maamuzi sahihi na awe tayari kunisikiliza.
Ijumaa: Nini ambacho kinakukwaza sana na hukipendi kabisa?
Penny: Ni watu kuniongelea tena kwa mambo ambayo hawayajui kuhusu mimi. Nakerwa sana na wanaofanya hivyo.Ijumaa: Ukiwa katika ‘stress’ au mtu kakukwza na kukukosesha amani, kipi ambacho huwa unakifanya kurudisha amani yako?
CREDIT: GLOBAL PUBLISHERS
Post a Comment