ad

ad

KALA JEREMIAH AENDELEA KUWA BALOZI WA PEPSI NCHINI


Msanii wa muziki, Kala Jeremiah akizungumza jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani). 
Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo. 
Kulia ni Meneja Mafunzo,  Rashid Chenje akiwa na Kala Jeremiah. 
Washindi watatu walioshinda shilingi laki tano kila mmoja baada ya kunywa  Pepsi.
MSANII, Kala Jeremiah ameendelea kuwa balozi wa kinywaji cha Pepsi  nchini  kwa msimu mwingine, Hayo yamezungumza  na Meneja Mafunzi wa SBC , Rashid Chenje , hii leo katika Ukumbi wa Maelezo uliopo Posta, jijini Dar e s Salaam, wakati akizindua  shindano  jipya la  ‘’Jishindie mamilioni kila siku na Pepsi’’
Aidha Pepsi wametoa zawadi za Papo kwa Papo baada ya waandishi  kunywa soda za Pepsi  na waandishi watatu kuibuka washindi wa shilingi laki tano kwa kila mshindi.
Shindano hilo limeanza rasmi leo na  litamalizika 21/12/2014 huku mwisho wa kutoa zawadi, ni tarehe 30 January 2015, ambapo kila siku mshindi mmoja wa shilingi milioni moja taslimu atajishindia kwa kunywa soda za kampuni hiyo.
(Na Gabriel Ng’osha/GPL)

No comments

Powered by Blogger.