HAPA NDO KAZIKWA LEO AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA LEO…PICHA ZIPO HAPA
Waombolezaji wengine wakijiandaa kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
wa dini ya Kiisilam wakiomba dua mara baada ya kuzika marehemu Khamis
Kayumbu ‘Amigolas’ kwenye makaburi ya Kisutu Jijini Dar jioni hii.
Hili ndilo kaburi alimozikwa Marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’.
MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African
Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’
aliyefariki juzi amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es
Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.
Post a Comment