JIPYA KUHUSU FILAMU YA NNE YA THE TRANSPORTER
Filamu ya "The Transporter Legacy"
imetangazwa kutoka June 19 2015 ikiwa ni wakati mgumu sababu ya filamu
kubwa kama "Paper Towns" na "Inside Out zitakuwa zimetoka.Sababu ya
ubora na stori nzuri ya filamu hii, imeaminika kuwa itaweza kupambana
kwenye soko.
Mwigizaji Jason Statham ataendelea kuigiza kama Frank Martin kwenye toleo la nne la filamu hii.
Mwigizaji Jason Statham ataendelea kuigiza kama Frank Martin kwenye toleo la nne la filamu hii.

Post a Comment