BARCELONA YACHAPWA KAMOJA CAMP NOU
Bao lililofingwa na mshambuliaji Joaquin Larrivey wa Celta Vigo
limeimaliza Barcelona yenye wakali kama Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar.
Juhudi za angalau kutaka kupata sare zilikuwa kubwa
lakini mwisho Barcelona ikalala nyumbani katika mechi hiyo ya La Liga.


Post a Comment