ad

ad

VIDEO MPYA YA REDSAN AMEMSHIRIKISHANAILAHNYLA WA BRICK & LACE

Kutoka kwenye wimbo mkali wa Alaine na Wyre, Demarco na Redsan,bado tunaona collabo mpya za Wakenya na Wajamaica. Hii video mpya ya Redsan aliyofanya na msanii wa kundi la Brick & Lace 'Nyla' wimbo unaitwa Touch Me There. Video imetayarishwa na Enos Olik Na Rona Cohen.

No comments

Powered by Blogger.