Inaitwa kulipiza kisasi kwa kutumia picha za
utupu, kuchapisha picha za mtu binafsi za utupu bila yeye kujua,
limekuwa jambo la kawaida nchini Uganda katika siku za hivi karibuni.
Nchini Uganda picha za
mwanamuziki Desire Luzinda zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na
kuchapishwa kwa baadhi ya magazeti nchini.
Inasemekana aliyekuwa mpenzi wake wa zamani ndiye alisambaza picha hizo kama hatua ya kushikisha adabu mwanamuziki huyo.
Mwandishi wa BBC Issaac Mumena anasimulia akiwa mjini Kampala.
CREDIT: BBC SWAHILI
Post a Comment